Tuesday, January 31, 2012

TUJIFUNZE KUHUSU HALMASHAURI YA MERU!!

Karibu Halmashauri ya Meru!! Tunatarajia kujifunza mengi kupitia mtandao huu. Kama una habari yoyote inayohusu Halmashauri ya Meru, ambayo ungependa tuibandike hapa tafadhali tutumishie kwenye email arumerumashariki@gmail.com.

Tujifunze kuhusu halmashauri yetu na tuwajulishe wengine wanaotaka kujifunza!! yako mengi, ukiwa na picha pia tupatie. Habari zote zinazohusu jamii (elimu, afya, maji, ardhi, kilimo, ufugaji, ajira, utalii, uchumi, miundombinu, siasa, uongozi, watu, n.k).

Kushoto ni Makao Makuu ya Halmashauri ya Meru.

Knowledge is Power!!

No comments:

Post a Comment